JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM

JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM
kiungo : JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM

soma pia


JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM

Ndugu zangu, vijana wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na vijana wote wenye mapenzi mema na chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla.

Nitangulie kwa kuwashukuru kamati ya utekelezaji ya UVCCM TAIFA kwa kuonyesha mapenzi makubwa na imani kubwa kwangu kwa kukubali kuniteua ku-kaimu nafasi ya Katibu wa UHamasa na Chipukizi. 

Imani yenu kwangu inabaki kuwa deni na chachu ya kujitoa kwa nguvu zote, kwa akili zote kuitumikia vizuri nafasi hii. Mwenyezi Mungu anisaidie.

Pili, kama ilivyo alama ya kwenye nembo ya jumuia yetu, ile alama ya mwenge wa uhuru. Mwenge wa Uhuru unaashiria nuru na mwanga. Mwenge huu unamulika nchini na nje ya mipaka ili kuleta matumaini pale ambapo kuna kukata tamaa, upendo pale kwenye chuki na heshima pale penye dharau- hii nimenukuu. 

Hivyo sifa kuu ya mwenge wetu wa uhuru kwenye nembo ya jumuiya yetu ya vijana ni kutoa mwanga, na sifa kuu ya mwanga ni kuweza kutokomeza giza na kutoa tumaini. Hivyo sisi kama vijana tunategemewa kuwa tumaini. Sisi kama vijana tunategemewa kuonyesha si tu njia bali kuwa tumaini kwamba taifa lilioasisiwa na waasisi wa nchi hii "our founding fathers" lipo katika mikono salama. 

Na hatuishii hapo bali jukumu la kuleta tumaini hili liko kwenye sehemu sahihi kupitia jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama chetu Cha Mapinduzi. Sehemu pekee ambapo viongozi wa sasa na baadae hupikwa vilivyo kuweza kuitumikia nchi yetu kwa weledi na uadilifu uliotukuka. Hivyo basi ni lazima kutengeneza taswira itakayowapa hamu vijana wa Tanzania kutamani kuwa sehemu ya UVCCM. Ni lazima tuwe wabunifu na kuvutia vijana wengi zaidi ili kupanua wigo wetu pia. 



Hivyo makala JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM

yaani makala yote JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/jokate-mwegelo-ateuliwa-kuwa-kaimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JOKATE MWEGELO ATEULIWA KUWA KAIMU KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI UVCCM"

Post a Comment