title : SERIKALI YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIWA KUTAKATISHA FEDHA HARAMU KUPITIA MIFUGO INAYOINGIZWA KWENYE MAENEO YA HIFADHI NCHINI – PROF. MAGHEMBE
kiungo : SERIKALI YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIWA KUTAKATISHA FEDHA HARAMU KUPITIA MIFUGO INAYOINGIZWA KWENYE MAENEO YA HIFADHI NCHINI – PROF. MAGHEMBE
SERIKALI YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIWA KUTAKATISHA FEDHA HARAMU KUPITIA MIFUGO INAYOINGIZWA KWENYE MAENEO YA HIFADHI NCHINI – PROF. MAGHEMBE
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke ofisini kwake mjini Dodoma. Alimueleza balozi huyo kuwa Serikali imebaini na itakomesha ujanja unaofanywa na wafanyabiashara haramu wa kutakatisha fedha kwa kununua makundi makubwa ya mifugo na kuyachunga kwenye maeneo ya hifadhi nchini na baadae kuyauza kwa faida kwenye minada.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akifurahia jambo na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke ofisini kwake mjini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akimkabidhi Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke majarida mbalimbali enye taarifa za vivutio vya Tanzania ofisini kwake mjini Dodoma. (Picha na Hamza Temba - WMU)
Hivyo makala SERIKALI YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIWA KUTAKATISHA FEDHA HARAMU KUPITIA MIFUGO INAYOINGIZWA KWENYE MAENEO YA HIFADHI NCHINI – PROF. MAGHEMBE
yaani makala yote SERIKALI YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIWA KUTAKATISHA FEDHA HARAMU KUPITIA MIFUGO INAYOINGIZWA KWENYE MAENEO YA HIFADHI NCHINI – PROF. MAGHEMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIWA KUTAKATISHA FEDHA HARAMU KUPITIA MIFUGO INAYOINGIZWA KWENYE MAENEO YA HIFADHI NCHINI – PROF. MAGHEMBE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/serikali-yabaini-mbinu-mpya-inayotumiwa.html
0 Response to "SERIKALI YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIWA KUTAKATISHA FEDHA HARAMU KUPITIA MIFUGO INAYOINGIZWA KWENYE MAENEO YA HIFADHI NCHINI – PROF. MAGHEMBE"
Post a Comment