SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI

SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI
kiungo : SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI

soma pia


SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI

SERIKALI wilayani Korogwe Mkoani Tanga imepania kuhakikisha wanakomesha vitendo vya mimba za utotoni kwa kuwachukulia hatua kali watakaobinika kuhusika na matukio hayo ili kuweza kuondosha hali hiyo kwenye jamii.

Lakini pia imesema watakaohusika kuwa kichocheo cha ndoa hizo zifanyike wakiwemo wazazi kutoka pande zote mbili watafikishwa mahakamani ili sheria zichukue mkondo wake zaidi kwa lengo la kukomesha vitendo vya namna hiyo kwenye jamii.

Hayo yalibainishwa na Mkuu wa wilaya ya Korogwe ,Mhandisi,Robert Gabriel wakati makabidhiano ya vyumba vya madarasa vitano na vyoo ishirini na nne,mradi maji na uzio wa shule ya msingi jitengeni iliyopo Mji mdogo wa Mombo uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali A better World ya Canada ikishirikiana na Vuga development Initiative
.
Alisema hatua hiyo ina lengo la kuhakikisha wanakomesha vitendo vinavyofanya na baadhi ya vijana vya kuwa sha wishi wananfunzi wa kike na kuwapatia ujauzito hivyo kupelekea wasichana hao kukatisha masomo yao.

Mkuu huyo wa wilaya alisema hivi sasa lazima wawe wakali na watu wanaocheza na maisha ya watoto ya wanafunzi ambao asilimia kubwa masomo yao yana haribiwa mara tu baada ya kushawishiwa na kupewa ujauzito.
MKUU wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Mhandisi
Robert Gabriel akizungumza wakati makabidhiano ya vyumba vya madarasa vitano na vyoo ishirini na nne,mradi maji na uzio wa shule ya msingi jitengeni iliyopo Mji mdogo wa Mombo uliofanywa na taasisi isiyo ya kisherikali A better World ya Canada ikishirikiana na Vuga development Initiative kulia ni Founder wa A Better World Canada Eric Rajabu na Mkurugenzi wa Taasisi ya A Better Worild Canada
nchini Tanzania,Aizidi Kaoneka 
Founder wa A Better World Canada Eric Rajabu kushoto akizungumza katika halfa hiyo kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya A Better Worild Canada nchini Tanzania,Aizidi Kaoneka 
Mkurugenzi wa Taasisi ya A Better Worild Canada nchini Tanzania,Aizidi Kaoneka akizungumza katika halfa hiyo 



Hivyo makala SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI

yaani makala yote SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/serikali-wilayani-korogwe-yaapa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI"

Post a Comment