title : SAKA SAKA YAKITA UKONGA, MAJUMBA SITA – ILALA
kiungo : SAKA SAKA YAKITA UKONGA, MAJUMBA SITA – ILALA
SAKA SAKA YAKITA UKONGA, MAJUMBA SITA – ILALA
Kituo cha Efm redio kimekabidhiwa kiasi cha shilligi Milioni moja na laki tano (1,500,000/=) pesa taslimu kwa washindi mbali mbali walioshiriki katika mchezo wa saka saka (treasure hunt) leo tarehe 04/06/2017 kwa wakazi wa wilaya ya Ilala – Ukonga (Majumaba sita) katika kiwanja cha Gonga. Huu ni msimu wa tatu wa Saka saka tokea mchezo huu umeanzishwa na mwaka huu itafanyika katika wilaya tano, Kigamboni, Ilala, Ubungo, Temeke kwa Dar es salaam na Bagamoyo kwa wilaya ya Pwani.
Denis Rupia( kulia ) mtagazaji wa E-fm radio akiwaanamuhoji moja ya mshiriki wa Saka saka (katikati) na Aneth Mrindoko- Afisa matukio, uhusiano na mwasiliano (kushoto) akiwa anakagua kitu kilichotolewa na mshiriki kama ndicho kilichofichwa na Efm.
Baadhi wa wananchi wa Ukonga wakishuhudia zoezi zima lililokuwa linaendelea.
Baadhi ya washiriki wa Saka saka wakiwa wako tayari kwa ajili ya uhakiki wa kile walichokiokota ni kitu kilichokuwa kimefichwa na Efm redio.
Lulu Riziki Magala ambae ni mshindi wa kwanza aliye ibuka na shilingi 1,000,000 pesa tasilimu za kitanzania.
Moja ya washindi Mohamed Madiga akikabidhiwa kiasi cha shilingi elfu hamsini na Jesca Mwanyika - Afisa matukio, uhusiano na mawasiliano.
Hivyo makala SAKA SAKA YAKITA UKONGA, MAJUMBA SITA – ILALA
yaani makala yote SAKA SAKA YAKITA UKONGA, MAJUMBA SITA – ILALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAKA SAKA YAKITA UKONGA, MAJUMBA SITA – ILALA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/saka-saka-yakita-ukonga-majumba-sita.html
0 Response to "SAKA SAKA YAKITA UKONGA, MAJUMBA SITA – ILALA"
Post a Comment