NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam

NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam
kiungo : NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam

soma pia


NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo na wa Kati wa Banki ya NMB, Omary Mtiga akizungumza na zaidi ya watoto 450 waliopo kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani kutoka vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dar es Salaam walipojumuika pamoja katika futari na baadhi ya maofisa wa benki hiyo kwenye Ukumbi wa Shaan Robert. Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo na wa Kati wa Banki ya NMB, Omary Mtiga (wa pili kulia) akitoa zawadi kwa watoto walioshiriki katika futari na baadhi ya maofisa wa benki hiyo kwenye Ukumbi wa Shaan Robert. Baadhi ya watoto waliopo kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhani kutoka vituo mbalimbali vya watoto yatima vya jijini Dar es Salaam wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwenye Ukumbi wa Shaan Robert.



Hivyo makala NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam

yaani makala yote NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/nmb-yafuturu-na-watoto-yatima-zaidi-450.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NMB yafuturu na watoto yatima zaidi 450 Dar es Saalam"

Post a Comment