title : FUTARI YA KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION (KFDF) 2017
kiungo : FUTARI YA KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION (KFDF) 2017
FUTARI YA KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION (KFDF) 2017
Kisomo wakati wa hafla ya futari ya Kariakoo Family Development Foundation iliyofanyika jana mtaa wa Tandamti na Livingstone na kuhudhiriwa na wanachama, masheikh wa Kariakoo, viongozi wa Saigon Sports Club, wajumbe kutoka Gogo vivu pamoja na watoto wanaolelewa kwenye vituo viwili vya Yatima vya Madina cha Tandale na cha Maalim Bonge kilichopo Jangwani.
Misaada ilitolewa kwawatoto wanaolelewa kwenye vituo viwili vya Yatima vya Madina cha Tandale na cha Maalim Bonge kilichopo Jangwani
Picha ya pamoja ya wanachama wa KFDF na watoto wanaolelewa kwenye vituo viwili vya Yatima vya Madina cha Tandale na cha Maalim Bonge kilichopo Jangwani
Picha ya pamoja ya badhi ya wanachama wa KFDF
Misaada ilitolewa kwawatoto wanaolelewa kwenye vituo viwili vya Yatima vya Madina cha Tandale na cha Maalim Bonge kilichopo Jangwani. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala FUTARI YA KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION (KFDF) 2017
yaani makala yote FUTARI YA KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION (KFDF) 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FUTARI YA KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION (KFDF) 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/futari-ya-kariakoo-family-development.html
0 Response to "FUTARI YA KARIAKOO FAMILY DEVELOPMENT FOUNDATION (KFDF) 2017"
Post a Comment