title : NMB Bank yawezesha kufanyika kwa Kids Circus Carnival
kiungo : NMB Bank yawezesha kufanyika kwa Kids Circus Carnival
NMB Bank yawezesha kufanyika kwa Kids Circus Carnival
Mwambawahabari
Benki ya NMB Tanzania imeungana na Watanzania nchini kusherehekea sikuu ya Eid kwa kudhamini tamasha ambalo limehusisha watu wa aina mbalimbali kuanzia watoto n ahata watu wazima la Kids Circus Carnival.
Tamasha hilo ambalo linafanyika kwa siku mbili yaani Eid Mosi (Juni, 26) na Eid Pili (Juni, 27) linafanyika katika viwanja vya Kenyatta (Kenyatta Ground) vilivyopo Osterbay, Dar es Salaam.
Katika tamasha hilo kulikuwa na huduma mbalimbali ambazo zinazotolewa na benki ya NMB ambapo watu waliohudhuria tamasha hilo walipata nafasi ya kujua huduma zinazotolewa na NMB lakini pia kupata nafasi ya kufungua akaunti.
Pamoja na hilo pia kulikuwa na michezo mbalimbali ya watoto na wanyama mbalimbali wakiwepo simba, chui, mamba, farasi, sungura na wengine mbalimbali.
Hivyo makala NMB Bank yawezesha kufanyika kwa Kids Circus Carnival
yaani makala yote NMB Bank yawezesha kufanyika kwa Kids Circus Carnival Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NMB Bank yawezesha kufanyika kwa Kids Circus Carnival mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/nmb-bank-yawezesha-kufanyika-kwa-kids.html
0 Response to "NMB Bank yawezesha kufanyika kwa Kids Circus Carnival"
Post a Comment