NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE

NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE
kiungo : NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE

soma pia


NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE

Mashabiki wakiwa ndani ya Dar Live.


SIKU zikiwa zinahesabika kuelekea Usiku wa Nishushe Dar Live utakaofanyika Sikukuu ya Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MbagalaZakhem jijini Dar, wakali kibao watakaoliamsha dude siku hiyo wamefungukia makamuzi watakayotoa. 

Katika usiku huo, pazia la burudani litafunguliwa rasmi mapema kuanzia saa 8:00 asubuhi ambapo burudani ya watoto itatolewa chini ya kundi la sarakasi na kudensi la Wakali Dancers pamoja na Kundi la Muziki wa Asili la Makhirikhiri kutoka Tanzania. Wakizungumza na Mikito Nusunusu kwa nyakati tofauti, wakali hao watakaoongozwa na R.O.M.A Mkatoliki walisema kuwa wataliamsha dude mwanzo mwisho sambamba na kutoa sapraizi kibao jukwaani.



Hivyo makala NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE

yaani makala yote NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/nishushe-idd-mosi-wasanii.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NISHUSHE IDD MOSI... WASANII WATAKAOLIAMSHA DUDE, DAR LIVE"

Post a Comment