NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200

NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200
kiungo : NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200

soma pia


NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Mfanyabiashara Shabani Hussein (44) maarufu kama "Ndama mtoto ya Ng'ombe" kulipa faini ya milioni 200 au jela miaka mitano baada ya kukiri shtaka la sita la kutakatisha fedha ambazo ni dola za Marekani 540,000.


Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi, Mkuu wa mahakama hiyo Victoria Nongwa.


Kabla ya hukumu hiyo kusomwa, upande wa mashitaka ukiongozwa na Wakili Mwandamizi wa Serikali, Christopher Msigwa alimsomea maelezo ya awali (PH), Ndama dhidi ya shtaka lake hilo na kukiri.

Hatua hiyo ya Ndama kusomewa hukumu katika shtaka moja tu la utakatishaji wa fedha kati ya matano yanayomkabili limekuja baada ya wiki iliyopita kuomba kukumbushiwa mashtaka yake na kukiri shtaka hilo la utakatishaji wa fedha.

Akisoma hukumu hiyo, hakimu Nongwa amesema mahakama imezingatia hoja za upande wa mashtaka na ule wa utetezi ambapo upande wa mashtaka uliiomba mahakama kwa mujibu wa sheria ya kutakatisha fedha kifungu cha 13 (a)cha Sheria ya kuzuia utakatishaji fedha, kumpa adhabu kali mshitakiwa kwa kuwa makosa hayo yanalenga kudidimiza uchumi wa nchi.

Amesema, mshitakiwa anastahili faini kwa kuwa ameipunguzia garama mahakama kuhusu shughuli za uendeshaji wa kesi hiyo ikiwemo gharama za kuleta mashahidi katika shtaka hilo 

Ameongeza kuwa, Sheria hiyo ipo kwa ajili ya kuonesha kuwa makosa kama hayo hayatakiwi kumnufaisha mkosaji hivyo, atatakiwa kulipa faini ya milioni 200 na asipolipa ataandikiwa hati ya kifungo cha miaka mitano jela.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200

yaani makala yote NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/ndama-ahukumiwa-kwenda-jela-miaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NDAMA ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200"

Post a Comment