BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA

BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA
kiungo : BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA

soma pia


BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA

Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa Ripota wetu jijini Mbeya,zinaeleza kuwa Soko la Sido lililopo mkabala na maeneo ya Mwanjelwa linateketea kwa moto hivi sasa,Taarifa zinaeleza kuwa chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.

Kwa mujibu wa Ripota wetu aliyepo eneo la tukio,anaeleza kuwa  Moto huo ulianza kuwaka mnamo majira ya saa tatu usiku huu na kusababisha tafrani kubwa kwa baadhi ya watu waliokuwepo maeneo hayo,ambao nao walionesha juhudi zao za kushriki kuuzima,lakini kwa bahati nzuri kikozi cha zima moto kikawa kimeishawasili na kuendelea kupambana na moto huo uliokuwa ukiwaka kwa kasi kubwa mpaka hivi sasa tunapoingia mitamboni.

Kama vile haitoshi katika kuongeza nguvu za kiusalama eneo hilo,Kikosi kutoka jeshi la Polisi la mjini Mbeya tayari nalo liliwasili katika eneo hilo katika suala zima la kuhakikisha ulinzi na usalama wa mali za watu unaimarika .

TAARIFA ZAIDI TUTAWALETEA 

Moto huo ukiendelea kuteketeza bidhaa mbalimbali zilizoachwa sokoni hapo usiku huu,huku Kikosi cha zima Moto kikiendelea kupambana na moto huo.



Hivyo makala BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA

yaani makala yote BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/breaking-newzzzzzz-moto-mkubwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NEWZZZZZZ: MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA SIDO USIKU HUU JIJINI MBEYA"

Post a Comment