MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA

MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA
kiungo : MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA

soma pia


MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA


HALILA TONGOLANGA, mwanamuziki wa siku nyingi ambaye alikuwa amelazwa katika hospitali ya Muhimbili amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Halila alikuwa amesafirishwa kutokea Ndanda kuja Muhimbili akihisiwa kuwa na matatizo ya figo. Licha ya kuwa alifika Muhimbili juzi Ijumaa usiku, lakini alikuwa hakufanyiwa vipimo vyovyote vikubwa mpaka umauti unamkuta. 
Jana Jumapili ililazimika kuanza kufanya jitihada za kupata daktari ambaye angemshughulikia kwa karibu zaidi, na daktari alipatikana ambaye aliahidi angeanza kufwatilia swala lake leo asubuhi lakini mapenzi ya Mungu yalikuwa tofauti. Juzi nilipomuona alinambia kuwa ana mengi anataka kunambia, lakini moja aliloweza kunambia pale ni kuwa yeye anajihisi ana kansa, 'Nilimuuliza anajuaje hilo, kwa vile hajapimwa hakuwa na jibu"

Wengi tutamkumbuka Tongolanga kwa wimbo wake wa Kimakonde aliouimba kwa mara ya kwanza akiwa na Les Mwenge 'Kila Munu Ave Na Kwao"

Mwili wa marehemu unategemewa kusafirishwa leo saa tano kuelekea kwao Newala. Habari zaidi zitawafikia kupia hapa

Mungu amlaze Pema peponi Halila Tongolanga 


Hivyo makala MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA

yaani makala yote MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mwanamuziki-halila-tongolanga-afariki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWANAMUZIKI HALILA TONGOLANGA AFARIKI DUNIA"

Post a Comment