title : Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari lake
kiungo : Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari lake
Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari lake
Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Andrew Lyimo (katikati), akikabidhi kadi ya gari kwa Rose Richard Getenyi kwa niaba ya mumewe, Lawrence Njozi aliyeshinda zawadi ya gari mpya aina ya Toyota Double Cabin Pick Up baada ya kushiriki katika kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo. Anayeangalia ni Meneja Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Andrew Lyimo (katikati), akikabidhi ufunguo wa gari mpya kwa Rose Getenyi kwa niaba ya mumewe, Lawrence Njozi aliyeshinda zawadi ya gari mpya aina ya Toyota Double Cabin Pick Up baada ya kushiriki katika kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo. Anayeangalia ni Meneja Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Rose Gitenyi akifurahia kuwasha gari lao Toyota Double Cabin Pick Up jipya ambalo mumewe alijishindia katika kampeni ya akaunti ya Malengo iliyoendeshwa na NBC.
Hivyo makala Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari lake
yaani makala yote Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari lake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari lake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mshindi-wa-kampeni-ya-akaunti-ya.html
0 Response to "Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari lake"
Post a Comment