Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3

Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3
kiungo : Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3

soma pia


Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3




Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka yao kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwe Kugushi nyaraka za shirikisho hilo pamoja na kutakatisha fedha zaidi ya laki tatu za kimarekani.

Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka ya kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwa nipamoja na kutakatisha pesa zaidi ya laki tatu za kimarekani. washtakiwa hao wamepelekwa mahabusu kekeo kutokana na kesi hiyo kutokuwa na dhamana hivyo wataletwa tena mahakamani mpaka julai 3




Rais wa Simba ,Evance Aveva na Kaimu wake ,Godfrey Nyange(KABURU) wakiongea na aliyekuwa katibu wa Simba Evodius Mutawala katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walipandishwa kwa mashtaka tofauti ikiwemo la matumizi mabaya ya ofisi

Haji Manara , Said Tully na wadau wengine wa mpira wakiwa ndani ya mahakama ya hakimu Mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo

Wadau wa mpira wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufatilia kesi inayowakabili viongozi wa Soka hapa nchini

Wadau wa mpira wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufatilia kesi inayowakabili viongozi wa Soka hapa nchini

Wadau wa mpira wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufatilia kesi inayowakabili viongozi wa Soka hapa nchini.


Hivyo makala Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3

yaani makala yote Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/michezo-malinzi-mwesigwa-warudishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3"

Post a Comment