title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 07, 2017.
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 07, 2017.
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 07, 2017.
Mwenyekitiwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Najma Giga akiongoza kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 07, 2017.
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabung ekatika kikao cha 41 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 5, 2017.
Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Naibu Waziri waWizarayaNishatinaMadiniDkMedardKalemaniakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.
Waziri waUjenzi,UchukuzinaMawasilianoMhe.ProfMakameMbarawaakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.
Waziri wa Mambo yaNdaniMhe.MwiguluNchembaakizungumzajambonaNaibu Waziri waNchiOfisiya Waziri MkuuKazi,VijananaAjiraMhe.AnthonyMavundekatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.
MbungewaKigamboni(CCM)Mhe,FaustineNdugulileakiulizaswalikatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.
Waziri waFedhanaMipango Mhe.Dk Philip MpangoakizungumzajambonaWaziri waMajinaUmwagiliajiMhe.GersonLwengekatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.
MbungewaKasuluMjiniMhe.Daniel NsanzugwakoakifurahiajambonaMbungewaMadabaMhe.JosephMhagamakatikakikao cha 43 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma June 7, 2017.
PichazotenaDaudiManongi,MAELEZO,DODOMA.
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 07, 2017.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 07, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 07, 2017. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_98.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 43, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 07, 2017."
Post a Comment