title : MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI.
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI.
MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI.
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, Bungeni mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju bungeni mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwasilisha hati mezani, Bungeni mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura (kushoto) na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi, Mhandisi Stella Manyanya wakiteta bungeni mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Mbulu Vijijini, Fratei Massay akimuuliza swali Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bungeni mjini Dodoma Juni 29, 2017. Kushoto ni Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia na katikati ni Mbunge wa Viti Maalum Rita Kabati. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-katika-picha-yaliyojiri-bungeni.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI."
Post a Comment