DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu

DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu
kiungo : DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu

soma pia


DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu

Mwambawahabari

Inline image 3


Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu Julai Mosi mwaka huu.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam DC Lyaniva ameeleza kuwa zoezi hilo litalenga kukusanya kodi kwa wale wadaiwa sugu ambao wamekuwa wakidaiwa na Halmashauri hiyo kwa muda mrefu.

DC Lyaniva ametaja idadi ya wadaiwa sugu kuwa ni 142 ambapo wadaiwa wa leseni za biashara wakiongoza kwa idadi kubwa ya wadaiwa 69, ushuru wa huduma 52 na wadaiwa sugu kwa upande wa masoko wakiwa ni 21.

Jambo ambalo limepelekea halimashauri hiyo ya wilaya ya Temeke kutofikia malengo ya makusanyo ya kodi ya shilingi bilioni 29 ambapo wamefanikiwa kukusanya bilioni 23 pekee huku zaidi ya bilioni 6 zikibakia kwa wadaiwa sugu.

DC Lyaniva amesisitiza kuwa kwa wasiolipa kabla ya tarehe mosi ya mwezi Julai mwaka huu watachukuliwa hatua kali za kisheria, hivyo ni vyema wakatimiza wajibu huo haraka iwezekanavyo na kufafanua kuwa kwa umuhimu wa jambo hilo ofisi zitakuwa wazi mpaka siku ya jumapili.



Hivyo makala DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu

yaani makala yote DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/dc-lyaniva-atoa-siku-mbili-kwa-wadaiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC Lyaniva atoa siku mbili kwa wadaiwa Sugu"

Post a Comment