MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO

MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO
kiungo : MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO

soma pia


MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo ukiingizwa kanisani.
Waziri mkuu wa Zamani ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa akibadilishana mawazo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika ibada ya kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo.
Viongozo wa Chadema wakiwa katika ibada ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo.
Mke wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo (wa pili toka kushoto) akiwa kanisani.
Gari lililobeba mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo likielekea kwenye kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kiboriloni kwa ajili ya kuombewa. Maziko ya Marehemu Ndesamburo yanafanyika leo nyumbani kwake mtaa wa  KDC- Moshi,mkoani Kilimanjaro.



Hivyo makala MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO

yaani makala yote MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/marehemu-ndesamburo-kuzikwa-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAREHEMU NDESAMBURO KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE MKOANI KILIMANJARO"

Post a Comment