BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo

BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo
kiungo : BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo

soma pia


BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo


KAMPUNI ya Mitindo ya BlackFox Models inazidi kujitanua huku ikiwatengenezea fursa vijana kukuza vipaji vyao mbalimbali.

Hivi karibuni Kampuni hiyo ilifanya usahili wa wanamitindo mkoani Mwanza ambapo mamia ya vijana walijitokeza na kunolewa huku wakijipatia mikataba ya kufanya kazi na kampuni hiyo.

Lakini pia imewachukua washiriki wa Miss Ardhi University ambao walishika nafasi tatu bora katika shindano hilo.

Washiriki hao ni Glady John, Stella Ernest na Evodia Patrick.
Akizungumzia maendeleo ya kampuni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wake, Atu Mynah, Aj alisema kuwa lengo kubwa ni kuwajengea uwezo vijana wakitanzania.

Alisema, amehakikisha kuwa anawasaka vijana wenye nia ya kuwa wanamitindo na kuwaendeleza hadi kufikia malengo yao huku akisisitiza kuwa anawanoa katika misingi yote ya uanamitindo.
Alisema, anawaendeleza katika vipaji vyao ikiwa ni sambamba na kuwapatia elimu ya fani hiyo kuanzia kibiashara, kisheria na kila kinachotakiwa kwa mtu kuwa Mwanamitindo.
AJ, kushoto akipitia profile za baadhi ya wanamitindo walioomba kushiriki kwenye usahili huo.
Meza ya majaji ikiendelea na mchakato wa kuwapata wanamitindo.
Aj, akizungumza na wanamitindo kadhaa waliofanikiwa kuchaguliwa ambapo alisikika akisisitiza suala zima la nidhamu.



Hivyo makala BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo

yaani makala yote BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/blackfox-models-yaendelea-kunasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BlackFox Models yaendelea kunasa wanamitindo"

Post a Comment