MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya mpira kutoka kwa Afisa Masoko Msaidizi wa kampuni ya soda ya Coca Cola Bi. Pamela Lugenge  kama ishara ya kuendeleza michezo nchini na pia  kwa ajili ya kumsaidia kuendeleza mazoezi yake binafsi wakati wa ufunguzi wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassanakirusha mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Vijana wakionesha utayari wao wa kushiriki michezo wakati wa mashindano ya 38 ya UMISSETA na ya 22 ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. 
 BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/makamu-wa-rais-afungua-mashindano-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MASHINDANO YA UMISSETA NA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA"

Post a Comment