title : MADEREVA WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA BARABARANI KUEPUKA AJALI
kiungo : MADEREVA WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA BARABARANI KUEPUKA AJALI
MADEREVA WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA BARABARANI KUEPUKA AJALI
Askari wa Usalama Barabarani akichukua maelezo ya gari Noah yenye namba za usajili T338 BVU iliopata ajali mapema jana,njia panda Goba,Mbezi Beach jijini Dar.Baadhi ya Mashuhuda wa tukio hilo walieleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa gari dogo (daladala pichani chini yenye namba za usajili T912 CVY),iliyokuwa imebeba abiria ikitokea Goba kwenda Mwenge,na hivyo gari hiyo kukosa mwelekeo kufuatia kona iliyopoo eneo hilo,Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.
Mashuhuda hao pia wakatoa wito kwa baadhi ya Madereva kuwa makini,kufuata sheria na kuzingatia alama za barabarani,kwani kwa kufanya hivyo ajali nyingi zitapungua kutokea.
Daladala yenye namba za usajili T912 CVY ikiwa imeacha barabara na kuvamia mtaro kufuatia gari hiyo kupoteza uelekeo kwa kile lichodaiwa na Mashuhuda kuwa ni mwendo kasi na kutaka kugongana uso kwa uso na gari nyingine aina ya Noah (pichani juu),sehemu yenye kona kali.
Baadhi ya watu wakishuhudia ajali ya gari aina daladala pichani yenye namba za usajili T912 CVY,ikiwa imeacha njia na kuvamia mtaro,kama ionekavyo pichani.katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza Maisha
Hivyo makala MADEREVA WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA BARABARANI KUEPUKA AJALI
yaani makala yote MADEREVA WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA BARABARANI KUEPUKA AJALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MADEREVA WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA BARABARANI KUEPUKA AJALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/madereva-waaswa-kuzingatia-sheria-na.html
0 Response to "MADEREVA WAASWA KUZINGATIA SHERIA NA ALAMA ZA BARABARANI KUEPUKA AJALI"
Post a Comment