title : PROF. ELISANTE AWATAKA MAAFISA UTAMADUNI KUTANGAZA VIVUTIO VYA KIUTAMADUNI VILIVYOPO KATIKA MIKOA YAO
kiungo : PROF. ELISANTE AWATAKA MAAFISA UTAMADUNI KUTANGAZA VIVUTIO VYA KIUTAMADUNI VILIVYOPO KATIKA MIKOA YAO
PROF. ELISANTE AWATAKA MAAFISA UTAMADUNI KUTANGAZA VIVUTIO VYA KIUTAMADUNI VILIVYOPO KATIKA MIKOA YAO
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro jana wakati wa ziara yake ya kikazi ambapo aliwataka watumishi wawe na utamaduni wa kufanya kazi kwa kushirikiana na wananchi.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bibi Joyce Fisoo akieleza umuhimu wa filam katika kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja na taifa kwa ukumla wakati wa kikao na Maafisa Utamaduni na watendaji wa Mkoa wa Morogoro.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (Kulia) akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Utawala na Fedha Dkt. Yonika Ngaga (kushoto) alipotembelea makaburi ya Wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini yaliyopo Mazimbu Morogoro wakati wa ziara yake ya kazi jana mkoani hapo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akipata maelekezo kutoka kwa fundi bombo Idara ya Matengenezo Chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Bw. Ally Mkopi alipotembelea makaburi ya Wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini yaliyopo Mazimbu mkoani Morogoro wakati wa ziara yake ya kazi jana mkoani hapo. (Picha na Lorietha Laurence –WHUSM).
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala PROF. ELISANTE AWATAKA MAAFISA UTAMADUNI KUTANGAZA VIVUTIO VYA KIUTAMADUNI VILIVYOPO KATIKA MIKOA YAO
yaani makala yote PROF. ELISANTE AWATAKA MAAFISA UTAMADUNI KUTANGAZA VIVUTIO VYA KIUTAMADUNI VILIVYOPO KATIKA MIKOA YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PROF. ELISANTE AWATAKA MAAFISA UTAMADUNI KUTANGAZA VIVUTIO VYA KIUTAMADUNI VILIVYOPO KATIKA MIKOA YAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/prof-elisante-awataka-maafisa-utamaduni_23.html
0 Response to "PROF. ELISANTE AWATAKA MAAFISA UTAMADUNI KUTANGAZA VIVUTIO VYA KIUTAMADUNI VILIVYOPO KATIKA MIKOA YAO"
Post a Comment