title : Kesi ya Wema yapigwa kalenda Kisutu
kiungo : Kesi ya Wema yapigwa kalenda Kisutu
Kesi ya Wema yapigwa kalenda Kisutu
Malkia wa filamu nchini Wema Sepetu Alhamisi hii amepanda tena katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa mara ya tatu kusikiliza kesi yake inayomkabili ya tuhuma za kutumia na kukutwa na madawa ya kulevya.
Mrembo huyo alisindikizwa na baadhi ya waigizaji wenzake akiwemo Neema Ndepanya. Hata hivyo madam Sepenga amekana shtaka hilo na kesi hiyo imeahirishwa mpaka Julai 14 ndio itasikilizwa tena.
Wema alitiwa mbaroni na jeshi la polisi mapema mwezi February mwaka huu na kusota rumande kwa siku saba huku akituhumiwa kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake baada ya kufanyiwa msako mkali.
Hivyo makala Kesi ya Wema yapigwa kalenda Kisutu
yaani makala yote Kesi ya Wema yapigwa kalenda Kisutu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya Wema yapigwa kalenda Kisutu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/kesi-ya-wema-yapigwa-kalenda-kisutu.html
0 Response to "Kesi ya Wema yapigwa kalenda Kisutu"
Post a Comment