MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE

MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE
kiungo : MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE

soma pia


MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE

Baada ya serikali kutangaza nyongeza ya Sh. milioni moja kwa kila ndugu aliyefiwa na ndugu yake katika ajali ya kivuko cha MV. Nyerere, wameanza kujitokeza watu wakidai na wao walikuwa kwenye kivuko hicho.

Hata hivyo, serikali imeushtukia utapeli huo na kuweka wazi kuwa hakuna mtu yeyote wa aina hiyo atakayepewa fedha hizo.


Akizungumzia suala la watu kujitokeza kudai fidia, Mwenyekiti wa Kamati ya Maafa ambaye ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, alisema hawatatoa fedha zozote kwa mtu ambaye hayumo katika orodha ya waliofariki na manusura.


Waziri Kamwelwe alisema kuwa idadi inayotambuliwa na serikali ni watu waliofariki ambao ni 228 na waliookolewa ni 41 tu.


“Yule anayejidanganya kujitokeza eti alikuwa katika kivuko ili alipwe huyo asahau, alikuwa wapi kujitokeza siku ile au kesho yake ambapo serikali ilikuwa hapa inafanya uhakiki,” alisema Waziri Kamwelwe jana na kuongeza:


“Idadi ikiongezeka ni ya wale marehemu watakaopatikana na tukajiridhisha ndugu waliojitokeza ni halali watapatiwa fedha zao na si vinginevyo.”


Aidha, Kamwelwe alisema idadi ya miili imefikia 228, ingawa kulikuwapo na taarifa ya kuonekana kwa miili miwili katika kijiji jirani.


Hata hivyo, alieleza kuwa ulikutwa mwili mmoja, hivyo idadi kufikia 229 si sahihi.


Hivyo makala MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE

yaani makala yote MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/matapeli-wanyemerea-rambirambi-ya-mv.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATAPELI WANYEMEREA RAMBIRAMBI YA MV NYERERE"

Post a Comment