title : KAMPUNI YA MAWASILIANO YA ZANTEL YAJUMUIKA NA WAFANYAKAZI NA WADAU WAKE KWA FUTARI JIJINI DAR
kiungo : KAMPUNI YA MAWASILIANO YA ZANTEL YAJUMUIKA NA WAFANYAKAZI NA WADAU WAKE KWA FUTARI JIJINI DAR
KAMPUNI YA MAWASILIANO YA ZANTEL YAJUMUIKA NA WAFANYAKAZI NA WADAU WAKE KWA FUTARI JIJINI DAR
Afisa wa Kitengo cha Rasilimali watu Zantel, Maryam Khatri (kushoto) akitoa huduma ya chakula kwa Mkurugenzi Mkuu wa Zantel Benoit Janin (kulia) katika tafrija ya futari iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Tafrija hiyo ilikuwa ni mahususi kwa ajili ya wafanyakazi na wadau wa kampuni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Zantel wakijumuika kupata futari katika tafrija iliyoandaliwa na Kampuni hiyo katika kipindi hiki cha mfungo Mtukufu wa Ramadhani ambayo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akizungumza wakati wa tafrija ya futari maalumu iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi na wadau mbalimbali katika kipindi hiki cha mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Tafrija hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu Zantel Joanitha Mrengo akizungumza wakati wa tafrija ya futari maalumu iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi na wadau mbalimbali katika kipindi hiki cha mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Tafrija hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (wa kwanza kushoto) akifurahia jambo na baadhi ya viongozi wa Kampuni hiyo wakati wa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Zantel kwa ajili ya wafanyakazi na wadau mbalimbali katika kipindi hiki cha mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Tafrija hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala KAMPUNI YA MAWASILIANO YA ZANTEL YAJUMUIKA NA WAFANYAKAZI NA WADAU WAKE KWA FUTARI JIJINI DAR
yaani makala yote KAMPUNI YA MAWASILIANO YA ZANTEL YAJUMUIKA NA WAFANYAKAZI NA WADAU WAKE KWA FUTARI JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA MAWASILIANO YA ZANTEL YAJUMUIKA NA WAFANYAKAZI NA WADAU WAKE KWA FUTARI JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/kampuni-ya-mawasiliano-ya-zantel.html
0 Response to "KAMPUNI YA MAWASILIANO YA ZANTEL YAJUMUIKA NA WAFANYAKAZI NA WADAU WAKE KWA FUTARI JIJINI DAR"
Post a Comment