title : HABARI NJEMA KWA WANAOSUBIRI AJIRA
kiungo : HABARI NJEMA KWA WANAOSUBIRI AJIRA
HABARI NJEMA KWA WANAOSUBIRI AJIRA
Akizungumza na Wanahabari Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo Thecla Makundi ameeleza kuwa semina hiyo itamuwezesha mdau kujiamini, kujitambua, kujiandaa na kuwa na uwezo mkubwa wa kuthubutu.
Huduma ya Semina hiyo itakayofanyika Juni 30, mwaka huu katika ukumbi wa Msasani Tower mkabala na Hospitali ya CCBRT Kuanzia Saa 8 mchana hadi 12 Jioni
Mkurungenzi wa Melva International Ltd, ,Amedeus Deogratius akifafanua jambo katika mkutano huo.picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni Melva International Ltd,Thecla Makundi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari juu ya semina maalumu ya huduma ya kazi kwa wadau wa kazi ili kuwajengea Uwezo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni,Amedeus Deogratius
Hivyo makala HABARI NJEMA KWA WANAOSUBIRI AJIRA
yaani makala yote HABARI NJEMA KWA WANAOSUBIRI AJIRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HABARI NJEMA KWA WANAOSUBIRI AJIRA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/habari-njema-kwa-wanaosubiri-ajira.html
0 Response to "HABARI NJEMA KWA WANAOSUBIRI AJIRA"
Post a Comment