DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI

DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI
kiungo : DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI

soma pia


DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI

Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) ,akiwa amepiga picha ya pozi na mmoja wa wauza Karanga ambaye ameamua kuuza Karanga za Mwanamuziki huyo na kuachana na Karanga za Kawaida.
Mashabiki wa Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) wakigawana Karanga mara baada ya kuzinunua mara baada ya uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam
Mama mzazi wa Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) akiwa anakula Karanga za mtoto wake mara baada ya kuzinduliwa Karume jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) akizungumza na wakazi wa Ilala Mchikichini wakati alipokuwa akifanya shoo ya uzinduzi wa Karanga zake zinazokwenda kwa jina la Diamond Karanga zitakazouzwa madukani kote katika mfumo wa kisasa.



Hivyo makala DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI

yaani makala yote DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/diamond-azindua-mradi-wa-kuuza-karanga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI"

Post a Comment