Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari

Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari
kiungo : Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari

soma pia


Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari

Rais Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (katikati) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari maalumu kwaajili ya Wateja wa NMB walio kwenye mfungo Mtufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Jijini Dar es Salam juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa wateja wadogo na wakati wa NMB, Abdulmajid Nsekela. Rais Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akiagana na baadhi ya wateja wa Benki ya NMB baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya Wateja wa NMB walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB wakijumuika katika tafrija ya futari maalumu kwa ajili ya wateja wa benki hiyo walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maofisa waandamizi wa Benki ya NMB wakiwa na viongozi mbalimbali waalikwa katika hafla hiyo.


Hivyo makala Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari

yaani makala yote Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/benki-ya-nmb-yajumuika-na-wateja-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Benki ya NMB yajumuika na wateja wake kwa futari"

Post a Comment