MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI

MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI
kiungo : MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI

soma pia


MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ametatua mgogoro mkubwa ambao umedumu kwa muda mrefu kati ya wakazi wa eneo la Pugu Nyamwezi na mmiliki wa eneo hilo Bibi Jeshri Rawel.

Waziri Lukuvi ametoa maamuzi ya kuwataka Wakazi wa eneo hilo ambao wamejenga katika shamba la mmiliki huyo lenye ukubwa wa hekari 40 na kuweka makazi yao kulipia gaharama za umilikishwaji ardhi ili waweze kupatiwa haki ya kumiliki eneo hilo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwa katika picha ya pamoja na wakazi wa eneo la Pugu Nyamwezi lenye ukubwa wa hekari 40 ambalo mmiliki wake ni Bibi Jeshri Rawel (kulia kwa waziri) ambaye anadai kuvamiwa na wakazi hao.


Hivyo makala MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI

yaani makala yote MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/mgogoro-wa-wakazi-wa-pugu-nyamwezi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MGOGORO WA WAKAZI WA PUGU NYAMWEZI WAPATIWA UFUMBUZI"

Post a Comment