title : ASAS YAJIPANGA KUWAHUDUMIA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA , WAKAMILISHA MAANDALIZI KWA AJILI YA WATEJA WAO
kiungo : ASAS YAJIPANGA KUWAHUDUMIA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA , WAKAMILISHA MAANDALIZI KWA AJILI YA WATEJA WAO
ASAS YAJIPANGA KUWAHUDUMIA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA , WAKAMILISHA MAANDALIZI KWA AJILI YA WATEJA WAO
ASAS imeamua kupiga kambi katika viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayotarajia kuanza kesho Juni 28 mwaka huu katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam ambapo maandalizi ya banda lao kwa ajli ya kuwahudumia wateja wao limekamilika.
Kwa sasa nchini maziwa ya ASAS ndio yamekuwa yakipendwa kila ya nchi yetu na katika kuhakikisha wanawahudumia watanzania kokote walipo wameamua kuweka banda lao kwa kuhakikisha wanaendelea kuwahudumia wote watakaofika kwenye maonesho hayo.
ASAS kutokana na kutambua kuwa kwenye viwanja vya Sabasaba idadi ya watu itakuwa kubwa nao wameamua kuchukua banda lenye uwezo wa kuingiza watu ndani na uamuzi huo ni kuhakikisha wanamhudumia kila anayeingia katika banda hilo.
Mmoja waaandaaji wa banda la ASAS ameiambia Michuzi Blog kuwa mwaka huu wameamua kuweka maeneo mengi ya kuhuduma wateja watakaofika huku wakihakikisha hali ya hewa muda wote inakuwa rafiki kwa wote.
Mkazi wa Mtoni kwa Aziz Alli jijii Dar es Salaam ambaye alifika kujionea maandalizi ya maonesho hayo Juma Shaban amesema kuwa maziwa ya Asas yamekuwa na ladha ya aina yake ambayo inasababisha watu wengi kuyanunua.
Hivyo anaamini idadi kubwa ya watu watakaokwenda kwenye maonesho hayo lazima watafka katika banda hilo kama si wakubwa basi watoto ambao wengi wao wanapenda maziwa ya ASAS.
Muonekano wa nje wa banda la ASAS
Hivyo makala ASAS YAJIPANGA KUWAHUDUMIA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA , WAKAMILISHA MAANDALIZI KWA AJILI YA WATEJA WAO
yaani makala yote ASAS YAJIPANGA KUWAHUDUMIA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA , WAKAMILISHA MAANDALIZI KWA AJILI YA WATEJA WAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ASAS YAJIPANGA KUWAHUDUMIA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA , WAKAMILISHA MAANDALIZI KWA AJILI YA WATEJA WAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/asas-yajipanga-kuwahudumia-wananchi.html
0 Response to "ASAS YAJIPANGA KUWAHUDUMIA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA , WAKAMILISHA MAANDALIZI KWA AJILI YA WATEJA WAO"
Post a Comment