SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP

SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP
kiungo : SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP

soma pia


SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP

MWAMBA WA HABARI
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM.
Wekundu wa Msimbazi Simnba Sport klabu imefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainal katika michuano ya Sports Pesa Super Cup inayoendelea huko nchini kenya.

Kufati ushindi huo Msemaji wa Simba, Haji Manara amesema fedha zote dola 30,000 (zaidi ya Sh milioni 66) kama watabeba ubingwa zitakuwa mali ya wachezaji.


“Tayari tumezungumza nao na kuwaeleza kuhisiana na suala hilo kwamba fedha zote zitaenda kwao,” alisema.

Manara amesema hayo mara tu baada ya Simba kushinda kwa mikwaju ya penalti na kutinga nusu fainali.

Simba imeing’oa Kariobang Sharks kwa penalti 3-2 baada ya mechi kwisha bila bao katika dakika 90.



Hivyo makala SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP

yaani makala yote SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/simba-asonga-mbele-michuano-ya-sports.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA ASONGA MBELE MICHUANO YA SPORTS PESA SUPER CUP"

Post a Comment