title : MICHUZI TV: HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
kiungo : MICHUZI TV: HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
MICHUZI TV: HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
ndivyo linavyoonekana eneo la Jangwani jijini Dar es salaam mchana
huu, baada ya mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mengi ya jiji hili.
Barabara
ya Morogoro ikiwa imefungwa katika eneo la Fire, kufuatia maji mengi
kujaa katika eneo Jangwani baada ya mvua kubwa ilinyeka maeneo mengi ya
jiji la Dar es salaam leo.
ya Morogoro ikiwa imefungwa katika eneo la Fire, kufuatia maji mengi
kujaa katika eneo Jangwani baada ya mvua kubwa ilinyeka maeneo mengi ya
jiji la Dar es salaam leo.
Vikwangua anga vikiwa vimetandwa na wingu la Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar leo.
Katika hali kama hii, baadhi ya wakazi wa Dar huona ni fursa kwao kutupa uchafu.
Mkazi
wa jiji la Dar akitota maji baada ya kutowa na mvua inayoendelea
kunyesha wakati akisuburi kuvuka barabara katika eneo la Makutano ya
Bibi Titi na Morogoro.
wa jiji la Dar akitota maji baada ya kutowa na mvua inayoendelea
kunyesha wakati akisuburi kuvuka barabara katika eneo la Makutano ya
Bibi Titi na Morogoro.
Usiombee gari ikubumie kiwese pindi mvua ikiwa inanyesha, maana unaipiga kibega peke yako labda kwa msaada wa abiria.
Hivyo makala MICHUZI TV: HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
yaani makala yote MICHUZI TV: HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MICHUZI TV: HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/michuzi-tv-hali-ilivyo-jijini-dar-leo.html
0 Response to "MICHUZI TV: HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA"
Post a Comment