title : WAZIRI MWIJAGE AZINDUA DUKA KUBWA LA VIFAA VYA UJENZI DAR ES SALAAM
kiungo : WAZIRI MWIJAGE AZINDUA DUKA KUBWA LA VIFAA VYA UJENZI DAR ES SALAAM
WAZIRI MWIJAGE AZINDUA DUKA KUBWA LA VIFAA VYA UJENZI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji Charles Mwijage(katikati) akiongoza jopo la Viongozi kuzindua duka kubwa la kisasa litakalokuwa linauza vifaa vyote vya vya ujenzi kwa bei nafuu lililopo eneo la Mikocheni jijini Dar es Salaam
aibu Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji Charles Mwijage akikagua sehemu ya bidhaa zilizopo ndani ya duka hilo ambazo zinazalishwa hapa nchini.
Rais wa umoja wa wafanyabiashara wa china wanaotengeza vifaa vya ujenzi,Thomas Cao akitoa maelezo kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam jinsi duka hilo lilivyosheheni bidhaa kutoka makampuni mbalimbali hapa nchini
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mstahiki Ben Sitta akiwa na viongozi wa duka hilo katika picha ya pamoja. Picha zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala WAZIRI MWIJAGE AZINDUA DUKA KUBWA LA VIFAA VYA UJENZI DAR ES SALAAM
yaani makala yote WAZIRI MWIJAGE AZINDUA DUKA KUBWA LA VIFAA VYA UJENZI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIJAGE AZINDUA DUKA KUBWA LA VIFAA VYA UJENZI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/waziri-mwijage-azindua-duka-kubwa-la.html
0 Response to "WAZIRI MWIJAGE AZINDUA DUKA KUBWA LA VIFAA VYA UJENZI DAR ES SALAAM"
Post a Comment