Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho

Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho
kiungo : Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho

soma pia


Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho



WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho utakaofanyika kwa siku mbili kuanzia Jumamosi, Mei 13, 2007, mjini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho (CBT) Hassan Jarufu, amesema ya kuwa Mkutano huo Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho utawajumuisha washiriki wapatao 600 na utafanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango, Dodoma.

“Kama tulivyokwishakueleza, Mkutano huu Mkuu utafunguliwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa na watakuwapo pia Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dk. Charles Tizeba, Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa inayolima Korosho ya Lindi, Pwani, Tanga, Mtwara na Ruvuma.

“Tumealika pia waheshimiwa Wabunge wanaotoka katika Mikoa hiyo, wakulima wa Korosho na watendaji wa Vyama vya Ushirika vya zao la Korosho. Mkutano huu utajadili kwa kina changamoto zinazoikabili Tasnia ya Korosho nchini,” alisema Jarufu.

Mkutano huu Mkuu wa Wadau wa Tasniaya Korosho unakuja katika wakati ambao Tasnia ya Korosho imepata mafanikio muhimu katika msimu uliopita ambayo ni pamoja na kuweka udhibiti uliosababisha Korosho nyingi kuuzwa kwa kutumia mfumo wa Stakabadhi Ghalani na hivyo kupunguza matumizi ya Kangomba, kipimo ambacho kwa muda mrefu kimekuwa kikimnyonya mkulima.

Udhibiti huo ulisababisha makusanyo ya Korosho kuongezeka kutoka tani 155, 244.645 msimu wa 2015/2016 hadi tani 264, 887. 527 katika msimu wa 2016/2017.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho

yaani makala yote Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/waziri-mkuu-majaliwa-kuongoza-mkutano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho"

Post a Comment