WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO

WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO
kiungo : WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO

soma pia


WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO

Mwambawahabari
A-4-11
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limewateua Watanzania watatu kuwa maofisa waandamizi wa kusimamia mchezo wa kundi A kati ya  Ghana na Gabon wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 utakaofanyika Uwanja wa Port Gentil utakaofanyika kesho Mei 17, 2017.
Watanzania hao ni Mwesigwa Joas Selestine atakayekuwa Kamisha wa mchezo huo wakati Frank John Komba atakuwa mwamuzi msaidizi na katika kitengo cha kitaalamu cha uchunguzi kwa wachezaji wanaotumia dawa za kusisimua misuli atakuwa Dk. Paul Gasper Marealle.

Hii ni fahari kwa nchi yetu Tanzania kwa viongozi wake kuthaminiwa na kuaminika katika nyanja za kimataifa.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawapongeza viongozi hao na inawatakia kila la kheri katika kutimiza majukumu waliyopangiwa kesho na baadaye hasa ikizingatiwa kuwa fainali zijazo za vijana kama hizi, zitafanyika Tanzania mwaka 2019.


Hivyo makala WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO

yaani makala yote WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/watanzania-kusimamia-ghana-gabon-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATANZANIA KUSIMAMIA GHANA, GABON KESHO"

Post a Comment