title : TOTO, LYON NA JKT RUVU RASMI ZASHUKA DARAJA
kiungo : TOTO, LYON NA JKT RUVU RASMI ZASHUKA DARAJA
TOTO, LYON NA JKT RUVU RASMI ZASHUKA DARAJA
Hatimaye timu tatu zilizoteremka daraja zimejulikana nazo ni JKT Ruvu kutoka Pwani, Toto African ya Mwanza na African Lyon ya Dar es Salaam.
Timu hizo zimeteremka baada ya mechi za mwisho za ligi huku mbili kila moja ikipoteza na moja ikipata sare ya bila mabao.
Toto African wamepoteza kwa kuchapwa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar wakiwa ugenini mjini Manungu, Morogoro na Ndanda wakawashindilia zaidi JKT kwa mabao 2-0 ambao tayari walikuwa wameishateremka.
Hivyo makala TOTO, LYON NA JKT RUVU RASMI ZASHUKA DARAJA
yaani makala yote TOTO, LYON NA JKT RUVU RASMI ZASHUKA DARAJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TOTO, LYON NA JKT RUVU RASMI ZASHUKA DARAJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/toto-lyon-na-jkt-ruvu-rasmi-zashuka.html
0 Response to "TOTO, LYON NA JKT RUVU RASMI ZASHUKA DARAJA"
Post a Comment