TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI

TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI
kiungo : TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI

soma pia


TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI

Mwambawahabari
09f94df8-1812-4529-b4d9-49d06cb82195
 Chemba ya Wafanya biashara, Viwanda na Kilimo ( TCCIA ) imeingia makubaliano na Chemba ya Biashara ya Uturuki (TOBB) mjini Instanbul.TOBB ni chemba ya 2 kwa ukubwa duniani ikiwa na wanachama zaudi ya 1,500,000. Ikumbukwe kuwa Uturuki ni Nchi ya 16 kwa uchumi duniani na kilimo ni Nchi ya 7. 
Makubaliano haya yanafuatia Ziara ya Rais wa Uturuki Nchi Tanzania. Ambapo TCCIA na TOBB zimekubaliana kushirikiana kwenye kubadilishana ujuzi, uwekezaji wa pamoja na kukuza biashara .
Pia TCCIA imefungua ofisi yake ya uwakilishi jijini Instanbul ili kukuza biashara kati ya Nchi mbili hizi. Ofisi ya diaspora hii utaongozwa kwa muda na Dr. Miraji.
Zoezi la kutiliana mkataba na TOBB liliongozwa na Makamu Rais wa TCCIA Bw. Octa Mshiu akiongozana na Mshauri wa TCCIA Imani Kajula. Kabla ya kwenda Uturuki ziara hiyo ilianzia Nchini Italy.


Hivyo makala TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI

yaani makala yote TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tccia-yaingia-makubaliano-na-uturuki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TCCIA YAINGIA MAKUBALIANO NA UTURUKI"

Post a Comment