Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma

Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma
kiungo : Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma

soma pia


Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma

Mwambawahabari
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wameendelea kumiminika katika kampuni ya Uber na kupata huduma mbalimbali ikiwemo kujiunga na program maalum ya usafiri wa kisasa ambao pia una ofa kwa kipindi hiki cha Sabasaba.
Wateja hao wamekuwa wakifurika kila siku tokea kuanza kwa Sabasaba ambapo moja ya huduma hiyo ya usafiri wamekuwa wakipata kuelekeza kujua jinsi Program ya Uber inayorahisisha usafiri  wa kutumia teknolojia ya kisasa na gharama nafuu pia wateja wote waliopakua Program hiyo wanapata punguzo la kiasi cha Tsh. 8200,  kwa safari yao ya kwanza. Mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es salaam.

Mfanyakazi wa Uber Ibrahim Kunguya akimsaidia mteja jinsi ya kutumia Program ya uber ambayo imekuwa msaada  kwa wakazi wa jiji la Dar kusaidia kurahisisha usafiri kwa njia ya kiteknolojia ,Mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar Es Salaam.

Balozi wa Uber akimsaidia mteja jinsi ya kupakua na kutumia program ya Uber katika banda lao katiika maonesho ya sabasaba mapema jana Jijini Dar es salaam.
 
 

Wateja waliofika katika banda la uber wakipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Uber Jinsi ya kupakua na kutumia Progamu ya Uber ambayo inarahisisha usafiri na kwa gharama nafuu,Mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es salaam.
 
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakipata maelekezo jini ya kujiunga na programu ya Uber katika maonesho ya sabasaba mapema jana Jijini Dar Es salaam.

Bango linaloonyesha jinis ya kuipata program ya  Uber katika APP store na Google play na kutumia kutumia usafiri kwa bei nafuu na kwa kisasa zaidi .

Balozi wa Uber akitoa maelekezo kwa  mteja aliyefika katika banda lao ambapo pia wateja walijipatia punguzo la kiasi cha 8200 Tsh mara baada ya kupakua na kutumia program ya uber katika kuagiza usafiri kwa bei nafuu na kwa teknolojia ya kisasa mapema jana katika maonesho ya saba saba.

Huduma zikiendelea kutolewa katika banda la Uber mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es salaam.


Hivyo makala Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma

yaani makala yote Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wakazi-wa-jiji-la-dar-wafurika-katika_8.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wakazi wa Jiji la Dar wafurika katika banda la UBER na kujiunga na huduma"

Post a Comment