Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake

Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake
kiungo : Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake

soma pia


Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake

Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia akifurahia chakula cha asili ya Tanzania na mabalozi wa nchini nyingine katika maadhimisho ya Siku ya Afrika nchini hapa yaliyofanyika hivi karibuni.


Na Mwandishi Wetu, Riyadh

Balozi wa Tanzania UBALOZI wa Tanzania nchini Saudi Arabia, uliungana na ofisi nyingine za balozi za nchi mbalimbali kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Afrika yaliyofanyika hivi karibuni nchini Saudi Arabia.

Maadhimisho hayo yalikwenda sambamba na kutangaza utamaduni, ambapo kwa Tanzania, shamra shamra hizo zilikonga nyoyo za wahudhuriaji wengi, ambapo wanafunzi wa Tanzania wanaosoma nchini hapa waliimba nyimbo za kuisifu na kuipamba Tanzania.
Wanafunzi wa kitanzania baada ya kutumbuiza nyimbo za kuisifu Tanzania.

Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliuambia Mtandao huu kuwa kusudio la kuungana na mabalozi wengine lilifanikiwa kwa sababu lengo halisi ni kuitangaza Afrika na nchi zao, ambapo anaamini kwa maadhimisho hayo nchi yake imepiga hatua kujitangaza kwa kuonyesha utamaduni wao kwa kupitia, ngoma, nyimbo, ngojera, maonesho ya mavazi na maonesho ya vyakula vya asili vya nchi zilizoshiriki,
Wakati wa Maakuli. Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia akiwa ameshika sahani ya chakula katika maadhimisho ya Siku ya Afrika ambapo vyakula vya asili, ngoma na utamaduni wa Tanzania ulionyeshwa katika tukio hilo.


Hivyo makala Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake

yaani makala yote Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tanzania-yatumia-siku-ya-afrika-saudi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tanzania yatumia Siku ya Afrika Saudi Arabia kutangaza utamaduni wake"

Post a Comment