Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi

Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi
kiungo : Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi

soma pia


Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya Mawaziri wa Kamisheni ya Pamoja ya Kitaifa kati ya Tanzania na Afrika Kusini, uliofanyika mapema leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake Mhe. Mahiga alieleza mkakati wa Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini katika kuongeza maeneo ya ushirikiano hususan katika biashara na uwekezaji. 
Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika Kusini, Mhe. Maite Nkoana - Mashabane akihutubia katika mkutano huo ambao ulitanguliwa na mkutano wa siku mbili wa Makatibu wakuu. Pamoja na Mambo mengine, Mhe. Mashabane alieleza umuhimu wa kukuza uhusiano wa kihistoria uliopo baina ya mataifa hayo mawili ili kuwaletea maendeleo wananchi wa mataifa yote. Pia alitumia fursa hiyo kutoa salamu za rambirambi kwa taifa la Tanzania kwa kupatwa na msiba ambao umepunguza nguvu kazi na wataalamu wa kizazi kijacho. 
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akitoa utangulizi pamoja na kuratibu ratiba ya ufunguzi wa mkutano. 
Sehemu ya Mawaziri wa Tanzania na viongozi waandamizi wa Serikali ya Tanzania na Afrika Kusini wakifuatilia Mkutano. 



Hivyo makala Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi

yaani makala yote Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tanzania-na-afrika-kusini-kuongeza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi"

Post a Comment