title : shamba darasa la Yara katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa
kiungo : shamba darasa la Yara katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa
shamba darasa la Yara katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa
Wakulima wa mahindi katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa pamoja na Bwana Shamba wa Yara Tanzania Ltd, Andrew Ndundulu (kati-chini) katika picha ya pamoja baada ya mafunzo ya matumizi bora ya mbolea za mahindi kutoka kampuni hiyo. Mafunzo hayo yalifanyika katika shamba darasa la Yara Tanzania kama njia ya kuelimisha waondokane na fanya kilimo cha mazoea na kuelekeza fikra zao kwenye kilimo cha kisasa.
Moja ya picha iliyopigwa kwenye shamba darasa la Yara katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa
Hivyo makala shamba darasa la Yara katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa
yaani makala yote shamba darasa la Yara katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala shamba darasa la Yara katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/shamba-darasa-la-yara-katika-kijiji-cha.html
0 Response to "shamba darasa la Yara katika kijiji cha Ihemi mkoani Iringa"
Post a Comment