SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA

SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA
kiungo : SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA

soma pia


SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA

Mwambawahabari

  Naibu Waziri,Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Dkt.Hamisi Kigwangalla akimjulia hali Mzee Francis Maige Ngosha aliyelazwa kwenye wodi ya Wanaume Hospitali ya Rufaa Amana leo jijini Dar es Salaam.


Mzee Francis Maige Ngosha (kwenye kitanda) akitolewa katika Hospitali ya
Rufaa Amana tayari kwa kupelekwa Hosptali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.



Naibu Waziri Dk. Hamisi Kigwagalla akiongea na waandishi wa habari kuhusu hatua waliyochukua ya kumuhamishia Mzee Maige kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Dharura Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Juma Mfinanga akizungumza na Mzee Francis Maige mara baada ya kupakiwa kwenye gari ya kubeba wagonjwa tayari kwa kupelekwa Muhimbili leo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA

yaani makala yote SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/serikali-yampatia-matibabu-aliyebuni_25.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAMPATIA MATIBABU ALIYEBUNI NEMBO YA TAIFA"

Post a Comment