Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni

Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni
kiungo : Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni

soma pia


Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni


IKULU: Rais Magufuli amepokea Ripoti ya Kamati ya uchunguzi wa Mchanga wa Madini. Imebaini upotevu wa Shilingi Bilioni 676 hadi trilioni 1.

Kamati Maalumu iliyoundwa imetoa jumla ya mapendekezo tisa ambayo yote yamekubaliwa na Rais.

Wakati akihutubia Rais Magufuli asema anampenda Waziri wa Nishati na Madini, Prof Muhongo amtaka ajitafakari na bila ya kuchelewa alitaka aachie madaraka.
.

Aidha Rais pia ameivunja Bodi ya TMAA na avitaka vyombo vya Dola kuwafuatilia wafanyakazi wote wa TMAA kwa upotevu wa madini.


Hivyo makala Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni

yaani makala yote Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rais-magufuli-avunja-bodi-ya-tmaa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni"

Post a Comment