Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani

Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani
kiungo : Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani

soma pia


Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani


Msanii wa nyimbo za injili nchini, Madam Flora amefunguka na kusema mume wake wa sasa Daudi Kusekwa ni mwanaume shujaa kwani ni mtu aliyevumilia mengi. 

Madam Flora alisema hayo siku ya kuzaliwa kwa mume wake huyo ambayo ilikuwa Jumapili  huku akimtakia maisha marefu na mafanikio mema 

"Hongera mume wangu Daudi Kusekwa kwa kuzaliwa, Mungu akupe maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Wewe ni mwanaume shujaa, nakupenda sana Daudi wangu na ninakuombea ufanikiwe zaidi kiroho na kimwili. Furaha yako ni furaha yangu" aliandika Flora.

Kwa upande wake Daudi Kusekwa aliitumia siku hiyo pia kumshukuru Madam Flora na kudai amepata mke mwema mwenye mapenzi ya dhati na yeye 

"Napenda kumshukuru Mungu wangu kwa kunipa mke mwema na mzuri, anayenipenda kwa dhati"- alisema Daudi Kusekwa


Hivyo makala Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani

yaani makala yote Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/madam-flora-na-mume-wake-mpya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Madam Flora na Mume Wake Mpya Waonyeshana 'Mahaba Niue' Mazito Hadharani"

Post a Comment