POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI

POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI
kiungo : POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI

soma pia


POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI

Mkulima mmoja Kitangili mkoani Shinyanga Francis Martin Kilalo (31)anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora kukutwa na sare na vifaa vingine vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) ambavyo anatuhumiwa kuvitumia kupateli na kuwadanganya kwa kuchukua fedha kutoka kwa vijana wanaotafuta nafasi ya kujiunga na Jeshi hilo.

Taarifa hiyo imetolewa jana na Kamanda wa Mkoa wa Tabaora Wilbroad Mtafungwa alipokuwa anaongea na waandishi wa habari Ofisi kwake juu ya hatua mbalimbali walizochukua katika kupambana na uhalifu mkoani humo.

Alisema kuwa Polisi walifanikiwa kumukamata mtuhumiwa huyo katika Hoteli ya JM iliyopo Wilayani Igunga akiwa na sare mbalimbali za Jeshi la waananchi Tanzania (JWTZ) zikiwa na cheo cha Koplo ambavyo ni pamoja na kofia tatu, begi, sweta, buti jozi moja, magwanda na mikanda mitatu.

Mali nyingine zilikamatwa kwa mtuhumiwa huyo ni pamoja na fomu za likizo cha likizo , fomu za kujaza vijana wanaotaka kujiunga na Jeshi hilo na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) kwa mujibu wa Sheria na hiari na mihuli zenye nembo inayofanana na Jeshi hilo.

Kamanda Mtafungwa alisema kuwa mtuhumiwa alikuwa akitumia nyaraka na sare za Jeshi hilo kuchukua fedha kwa kuwadanganya na kuwatapeli wananchi mbalimbali kwa kudai atawatafutia ajira katika majeshi ya Kujenga Taifa na la Wananchi.



Hivyo makala POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI

yaani makala yote POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/polisi-tabora-yakamata-kijana-mmoja-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI TABORA YAKAMATA KIJANA MMOJA KWA KUTUMIA NGUO ZA JWTZ KUTAPELI"

Post a Comment