ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18

ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18
kiungo : ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18

soma pia


ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
MSANII wa Sanaa za Maonyesho Amani Kipimo  anataraji kufanya onesho la  Igizo la Jukwaani linalokwenda kwa jina la Untoldy Story litakalo fanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa  jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Michuzi  blogu muandaji wa enesho  hilo Amani Kipimo amesema kuwa enesho ambalo litakuwa la bure  hivyo anawaomba kila mtu aliyopo nje na ndani ya Dar es Salaam  kufika katika ukumbi wa makumbusho Mei 18  mwaka huu.
Kipimo  amesema kuwa eneo hilo alina kiingilio  hivyo kuwaomba watu kufika kwa wingi kujionea namna ya wataalamu na manguli wa sanaa za jukwani watakavyokuwa wanatoa burudani na ujumbe kwa jamii.






Hivyo makala ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18

yaani makala yote ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/onesho-la-untold-story-kufanyika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18"

Post a Comment