OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA

OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA
kiungo : OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA

soma pia


OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA



DSC_1031[1]
Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kujiuzulu kwa aliyekuwa mwenyekiti wao Yusuf Manji alieamua kujiweka pembeni ndani ya klabu hiyo baada ya kuiongoza kwa kipindi cha miaka 11.
Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga Siza Lymo alisema kwamba kwa upande wao kama uongozi bado wanashindwa kulitolea ufafanuzi zaidi kwani kwao wamepatwa na taharuki juu ya jambo hilo.
Alisema kwamba kwa upande wao bado hawajaridhia jambo hilo na kama kamati ya utendaji wapo katika mkakati wa kwenda kwa mwenyekiti kumuomba ili abatilishe uwamuzi wake.
Aidha kwa upande mwingine kiongozi wa matawi ya klabu ya Yanga Bakili Makele alisema kwamba hapo kesho wanataraji kuwa na kikao cha viongozi wa matawi ili kulijadili swala hilo kwa undani zaidi.
Makele alisema kwamba licha ya kuandika barua ya kujiuzulu kwa mwenyekiti huyo lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kukaa kimya kwani bado wanamuhitaji Manji na watafanya jitihada kubwa ili aendelee na majukumu ya klabu.


Hivyo makala OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA

yaani makala yote OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/ombi-la-manji-lakataliwa-na-uongozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "OMBI LA MANJI LAKATALIWA NA UONGOZI WA YANGA"

Post a Comment