MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA

MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA
kiungo : MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA

soma pia


MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA




Malkia wa filamu bongo, Wema Issac Sepetu amefunguka na kuwataka mashabiki wamuombee apate mume bora atakayekuwa na heshima na wala asiwe mtu maarufu na siyo kumhusisha kila mara na uhusiano wa kimapenzi na msanii Diamond Platnumz..


Wema amefunguka hayo wakati akimjibu Shabiki katika kurasa wake wa Instagram, na kumtaka atambue Diamond ni baba wa watoto wa wili kwa sasa na ifike kipindi watu wanatakiwa wakubali kuwa hakuna kinachoendelea kati yake yeye na Diamond bali wamuombee na yeye apate mume wake ambaye siyo mtu maarufu. "Sasa baby aliokwambia namtaka Damond ni nani? Life has to go on, yule ni baba wa watoto wawili jamani. Its about time u guys accept that Me and Naseeb no more. Mnachotakiwa kuniombea ni nipate mwanaume bora na siyo bora mwanaume na mwenye heshima zake"- aliandika Wema Sepetu..


Hivyo makala MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA

yaani makala yote MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mrembo-wema-sepetu-awaomba-mashabiki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MREMBO WEMA SEPETU AWAOMBA MASHABIKI WAKE WAMUOMBE APATE MUME BORA"

Post a Comment