Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu

Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu
kiungo : Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu

soma pia


Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu



Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuachia madaraka kwa kushindwa kusimamia suala la mchanga wa dhahabu unaosafirishwa kwenye makontena.




Amemtaka waziri huyo kujitathimini na bila kuchukua muda mrefu aachie madaraka kutokana na suala hilo.




Rais Magufuli amesema hayo baada ya kamati iliyokuwa ikichunguza suala la mchanga kwenye makontena kukabidhi ripoti yao.




Kamati hiyo ya wataalamu wa jiolojia na uchambuzi wa kisayansi iliyoundwa Machi 29 mwaka huu, ilichunguza aina ya madini yaliyopo, kiasi na viwango vya ubora.




Akikabidhi ripoti hiyo, Profesa Mruma amesema uchunguzi huo umebaini uwepo wa madini ya kiasi cha kati ya Sh829.4 bilioni mpaka 1.439 Trillion kwa makontena yote 277.




"Licha ya uchunguzi uliofanywa kupitia makontena haya, tumegundua uwepo wa aina nyingi zaidi za madini ambayo hayakuwa yakijulikana na haya yamekutwa na thamani ya kati Sh129.5 bilioni mpaka261 bilioni," amesema Profesa Mruma.


Hivyo makala Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu

yaani makala yote Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/matukio-rais-magufuli-amtaka-waziri.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Matukio : Rais Magufuli Amtaka Waziri Prof. Muhongo Ajiuzulu"

Post a Comment