MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017

MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017
kiungo : MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017

soma pia


MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017


Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2017, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.

Sanjari na Uchanguzi huo, JKT limewapangia Makambi watakayokwenda kupatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu na wanatakiwa kuripoti Makambini kuanzia tarehe 25 – 30 Mei 2017.

Vijana waliochanguliwa, wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma – Mara, JKT Msange – Tabora, JKT Ruvu – Pwani, JKT Makutopora – Dodoma, JKT Mafinga – Iringa, JKT Mlale – Ruvuma, JKT Mgambo na JKT Maramba – Tanga, JKT Makuyuni – Arusha, JKT Bulombora, JKT Kanembwa na JKT Mtabila – Kigoma.

Aidha, wahitimu wenye ulemavu wa kuonekana kwa macho (physical disabilities) wanatakiwa kuripoti kambi ya JKT Ruvu iliyopo Mlandizi mkoani Pwani ambayo ina miundombinu ya kuhudumia watu wa jamii hiyo.



JKT linawataka vijana hao kuripoti wakiwa na vifaa vifuatavyo:

Bukta ya rangi ya ‘Dark blue’ yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini, isiyo na zipu.
Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.
Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari
Soksi ndefu za rangi nyeusi.
Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoa yenye baridi.
Track suit ya rangi ya kijani au blue.
Nauli ya kwenda makambini na kurudi majumbani.
Mkuu wa JKT anawakaribisha Vijana wote waliochaguliwa ili waweze kujiunga na Vijana wenzao katika kujifunza Uzalendo, Umoja wa Kitaifa, Stadi za kazi, Stadi za maisha na Utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa letu.


DOWNLOAD KWA URAHISI

<<BOFYA HAPA >>KUONA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA NA MAKAMBI WALIYOPANGIWA



Imetolewa na:

Kurugenzi ya Habari na Uhusiano,

Makao Makuu ya JKT,

Tarehe 22 Mei 2017


Hivyo makala MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017

yaani makala yote MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/majina-ya-vijana-kidato-cha-sita.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017"

Post a Comment