title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu wake Mhe.Anthony Mavunde katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Martha Mlata akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akizungumza jambo na Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_76.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017"
Post a Comment